Rufaa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuzuia kufukuzwa kwa jamii za wafugaji asilia katika Hifadhi ya Ngorongoro Watu wa Asili huko Ngorongoro, Tanzania wanapinga na mabango yakisema (kutoka kushoto kwenda kulia), “Tumechoka..
